Staa mrembo wa Bongo Movies,
Wema Sepetu ameshare nasi kipande kidogo cha video ya kazi mpya inayokwenda kwa
jina la Chungu Cha Tatu akiwa na Staa mwenzake, Jacob Stephen 'JB' wakiwa 'lokesheni'. Kwa
muda mrefu sasa Wema Sepetu amekuwa afanyi filamu, Bila shaka mashabiki wake
wana hamu kubwa sana ya kumuona tena kwenye filamu.