Usiku wa May 1 2015 ndio
ilifanyika Zari All White Party Dar es salaam Tanzania, Diamond Platnumz na
mpenzi wake Zari wakawa wahusika wakuu na hii ndio ilikua mara ya kwanza Zari anasimama na kuongea mbele ya umati wa Watanzania, hakuamini
kilichotokea mpaka akatoa machozi kama inavyoonekana kwenye hii video hapa
chini.