Monday, 27 April 2015
TANGAZO LA AJIRA MPYA ZA WALIMU 2015
Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa.
kwa Maelekezo zaidi tafadhali soma taarifa zifuatazo:
TANGAZO LA AJIRA MPYA ZA WALIMU KWA MWAKA 2015.
Ajira za Walimu wa Cheti (Shule za Msingi) 2015.
Ajira za Walimu wa Sayansi wa Shahada na Stashahada kwa Mwaka 2015.
Ajira za Walimu wa Masomo ya Sanaa na Biashara Ngazi ya Shahada na Stashahada.
Newer Post
Older Post
Home