STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka
kuwa hayupo tayari kuitaja jinsi ya mtoto wake mtarajiwa kwa kuogopa wafitini.
Akizungumza na
mwanahabari wetu, Diamond anayetarajia kupata mtoto kwa mpenzi wake wa sasa,
Zarinah Hassan ‘Zari’, alisema anamshukuru Mungu hadi sasa tayari anaijua jinsi
ya mwanaye lakini hayupo tayari kuitaja.“Tayari baby ameshapima na kujua jinsi
ya mtoto lakini siwezi kuitaja kwa sasa maana wabaya nao ni wengi sana mjini
hapa,” alisema Diamond.
credit: GPL