Abiria
wapatao 65 wamenusurika kifo baada ya dereva wa Bus la Nganga Express linalo
fanya safari yake Mbeya - Dar, baada ya kulikwepa Lori uso kwa
uso na kulitosa kwenye mtaro ilikoa roho za abiria wa Bus hilo.Majeruhi wa5
wamekimbizwa hospitali ya rufaa Mbeya. Ajari
imetokea Mbeya kijiji cha Lilongo asbh hii majira ya 12.48.