Katika mwili wa mwanamke kunasehemu nyingi sana zinazoweza kumpa
mshawasha na hamasa kubwa wakati wa tendo,achilia mbali sehemu nyingi
zilizozoeleka na watu wengi kama vile kisimi, kuna sehemu moja ambayo ni bab
kubwa kiasi cha kwamba mwanamke akishughulikiwa ipasavyo anaweza kukojoa mara
mbili au zaidi kwa wakati mmoja.
Sehemu hiyo si nyingine bali ni G SPOT au kwa Kiswahili baadhi ya watu
huita kipele G, sehemu hii iko ndani ya uke umbali wa kama nchi tatu hivi ukuta
wa juu.Sehemu hii ikiguswa tu mwanamke huhisi msisimuko wa ajabu kutokana na
ukweli kwamba sehemu hii inahisia nyingi kuliko kawaida pale inapoguswa. Sehemu
hii ni vigumu kidogo kuguswa kisawasawa kwa kutumia uume,badala yake njia
muafaka ni kutumia kidole cha kati pale ambapo mwanaume unatakiwa uingize
kidole chako kwenye uke wa mpenzi wako umbali kama wanchi tatu hivi kisha uwe
kama unakunja kidogo kidole kwa juu ili uweze kugusa ukuta wa juu. Punde tu
ukigusa sehemu hii utamsikia mwanamke kama ana ruka kidogo kwa juu na hapo hapo
utamwona akilegeza macho na lazima usikie akifanya assshhhhhhhhhhh kutokana na
hisia za utamu wa aina yake anaoupata mtu huyu.
Ukishapatia kugusa sehemu hii unatakiwa uwe unanyoosha na kukunja kidole hicho cha kati ili kuweza kusugua sugua sehemu hiyo adimu katika uke wa mwanamke. Kitendo hiki cha kukunja na kunyoosha kidole hufanana na ishara ya mtu anapomwita mwenzie aliye mbali kwa kutumia mkono. Kadiri unavyomgusagusa mwanamke eneo hili,ndivyo sehemu hii hubadilika na kuanza kuwa ngumu kidogo na kila utakavyokuwa unaendelea ndivyo utakavyokuwa unamwongezea mpenzi wako kilio cha utamu..!
Chezea G SPOT Acha Mazoea kitandani.