Muziki ni biashara sasa msanii
unatakiwa ujitume usiku na mchana ili kuhakikisha biashara yako inakunyokea si
kujigamba au kuwaonea wasanii wengine wivu kisa wanatusua, ila ukikaza kama
mkali kutoka Tandale Diamond Platnumz aka Chibu Dangote hakika unatoboa.
Ujumbe kutoka kwenye instagram ya Wasafi ambayo ni label
ya Diamond Platnumz unasema Diamond hukesha usiku kucha na siku zingine mpaka
asubuhi akirekodi na maproducer taofauti.