Zimeonekana picha na video zikumuonesha Diamond Plutnumz
akiwa Hospitali akifanyiwa upasuaji wa mguu, magazetini kukawa na Headlines
zilizoandikwa kwamba alinusurika kukatwa mguu.
Soudy Brown amemtafuta Diamond ambapo ishu ya mguu amesema alifanyiwa upasuaji
huo wa mguu kutokana na kichuma alichokuwa nacho siku nyingi kwenye mguu, kwa
sasa amepona.
Kuhusu afya ya mama yake amesema baada ya kurudi India kwenye matibabu amepona
kabisa, ishu ya ujauzito wa mpenzi wake Zari, Diamond amesema anatarajia mtoto
wake wa kwanza na anamsubiri mtoto wake huyo kwa hamu sana.