Thursday 7 May 2015

DIAMOND AJIBU MAPINGO KWA WEMA, KUFUNGA NDOA YA KIHISTORIA NA MPENZI WAKE ZARI.


Katika mahojiana na clouds FM Msanii wa Bongo fleva Diamond Platinumz  alisema anatarajia kufunga ndoa ya kihistoria na mpenzi wake "Zari"mapema mwaka huu. 


STAA wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amefunguka kuwa tayari amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Zarinah Hassan 'Zari' na anatarajia kupata mtoto wa kike mwaka huu.