Monday 15 June 2015

JAQUELINE WALPER ATOA YA MOYONI KWA SOUDBROWN WA XXL



Msanii wa filamu nchini Jaquelin Walper ameamua kumtolea uvuvi mtangazaji wa Clouds FM Soudbrown kwa kufanyia mambo meusi….

 
Pozi hili limuendee soudbrown popote alipo pale unaposikiliza udaku wake alaf peke yako naunatafakari kwanini kafanya mambo meusi kma haya haha soud acha mambo meusi uwaga unatupa mtihani tukichepuka kidogo tu habari radion natalaka zaweek zinatuhusu no busu na call no matumizi sasa bora vyote vifanyike ila swala lamatumizi liwepo lkn vyote vinapotea kwa udaku wako usio nausibitisho soud acha mambo meusi ..maana ukinipgia cm sku hzii na hvi namba zako zote nimezisave ata kma una deal yako unataka msaada wangu sitowaza hvyo nitawaza tuu mambo yako meusi jirekebishe kidogo kua nasubra soud unatuponzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mimi ajanifanya ktu lkn nameambia tuu mapozi tunayokaaga tena mimi ananistrigi kweli kweli ndo nachompendea πŸ˜‚πŸ˜‚